Tuesday, June 25, 2013

Watanzania Ghana

Watanzania wakiwa kwenye matembezi ya hiari pamoja na washiriki wa nchi zingine wakati wa kukamilisha maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma Nchini Ghana.

2 comments:

  1. Ina pendeza kuona ushirikiano kama huu!!

    ReplyDelete
  2. ushirikiano mzuri kweli dada, sio lazima tuwe nchi moja ili kushirikiana.

    ReplyDelete