Friday, June 21, 2013

Summer time Sweden,,,


Wanaafrika  Mashariki wakiwa katika pozi, baada ya shamrashamra za seherehe ya kitaifa, Summer Time, nchini Sweden. Pichani kuanzia kulia ni Aziza, katikati Hemmey wote kutoka Tanzania na Monia kutoka Burundi. Sherehe hiyo imefika katika eneo la Gamla Uppsala.

No comments:

Post a Comment