Tuesday, June 25, 2013

JE, Nifanyeje? Ya VOA, Mkutano wake wakamilika.

Katika pita pita zangu jioni ya leo nimekutana na habari ambayo kama ningeipata mapema, kwako kijana wa Tanzania pengine ingekufaa zaidi! Sikiliza, shirika la Utangazaji la Sauti ya Amerika Idhaa ya Kiswahili (VOA) likishirikiana na USAID limeandaa mkutano mkubwa wa Vijana utakaofanyika kesho mjini Dodoma kuhusu maamuzi bora ya kiafya na kijamii katika kipindi kiitwacho Je Nifanyeje?. Unaweza kuisoma zaidi kwa kugonga hapa kwa Sunday Shomary nilipoitoa,


1 comment: