Friday, June 21, 2013

Atlanta kama mkoa wa Tanzania.

Pichani ni watanzania kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania, wakiwa katika pozi eneo lililodizainiwa Kiafrika Louisiana, Atlanta, nchini Marekani. Eneo hili, vinapatikana vitu vya kiasili kutoka Tanzania, kama mihogo ya kuchoma, maji ya Kilimanjaro na viazi vitamu vya kuchoma pia!
Walioko pichani, sikufanikiwa kupata majina ya wote ila aliyekaa mbele ya chupa ya maji na kuvaa fulana yenye rangi nyeupe kwa picha ya bendera ya Tanzania, ni Saul Bichwa mzaliwa wa Kasulu, Kigoma.

2 comments:

  1. Inapendeza kupata vyakula vya kutoka nyumbani. Nyumbani ni nyumbani.

    ReplyDelete
  2. Teh teh teh teh teh teh..............
    Nani admini wa hii blog?

    ReplyDelete