Friday, June 14, 2013

Muulize swali Makulilo

''Ndani ya wiki chache zijazo, nitatimiza miaka 5 hapa Marekani. Katika hilo, Kesho nitakuwa na muda wa kama masaa 2 hivi wa kufanya video. Kama una (ma)swali ungependa kuniuliza, unaweza kuweka hapa, nitajibu kwa njia ya video. Maswali yawe ya kunihusu mimi binafsi, mambo ya elimu, udhamini ughaibuni, maisha ya ughaibuni nk. Sintojibu maswali ya kuvunjiana heshima, dharau, kubeza nk. Heshimu maisha yangu, misimamo yangu kama ninavyoheshimu maamuzi ya mtu mwingine pia''
Maswali yako unaweza pia kumwuliza katika akaunti yake ya facebook, tafuta Ernest Boniface Makulilo na utaikuka post kama hiyo iliyo katika mabano.

Makulilo,akiwa na familia yake.

No comments:

Post a Comment