Friday, June 7, 2013

Mke wa Rais atembelea Pertapis, Singapore

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa msichana anayetunzwa katika kituo cha watoto wa kike watukutu cha Pertapis kilichoko Singapore wakati alipokitembelea kituo hicho tarehe 6.6.2013. Mama Salma yupo nchini Singapore akiambatana na Rais Kikwete katika ziara ya kikazi ya siku mbili nchini humo. Kulia ni Mkuu wa kituo hicho Mama Sahnim Sokaimi.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete Atembelea kituo cha kuwatunza wasichana na wanawake watukutu cha Pertapis kilichoko nchini Singapore.

No comments:

Post a Comment