Tunakumbushwa kufika mapema ili tuwe na muda wa kuburudika zaidi kwa pamoja.
Kwa wale ambao bado hawajatoa michango ya uanachama wajitahidi watoe ili tuwe na sherehe nzuri na ya kupendeza.
Pamoja na hayo pia, tutakuwa na Dr. L. Lwaitama ambae atakuwa na machache ya kutueleza. Kwa wale waliopitia chuo kikuu cha Dar es Salaam bila shaka huyu Mwalimu anajulikana vizuri.
Natanguliza shukrani kwenu kwa ushirikiano wenu.”
Tangazo hili limeotlewa na blog ya Wanafunzi wanaosoma nchini Norway katika mji mkuu wa Oslo.
No comments:
Post a Comment