Thursday, June 6, 2013

Balozi Kamala ahutubia mkutano wa uwekezaji Ubelgiji

 
Balozi wa Tanzania BENELUX na jumuiya ya Ulaya, Dr.Deodorus Buberwa  
Kamala akiwasilisha mada kuhusu fursa za uwekezaji Tanzania kwa wanachama wa
Taasisi ya uwwkezaji ya Ubelgiji (FIT).
 Mkutano huo umeandaliwa na ubalozi wa Tanzania na Kenya.

3 comments:

  1. Twashukuru kwa kuanzisha blog hii ambayo natumai itaitangaza ncho yetu na lugha yetu ambayo ni muhimu sana kwetu, hii ndiyo inayotuunganisha sote, na nembo ya taifa,...TWASHUKURU SANA NA TUPO PAMOJA

    ReplyDelete
  2. asante sana, na twakukaribisha na maoni yako ni muhimu sana!

    ReplyDelete
  3. Ni fursa njema kwa wawekezaji wa vitega uchumi kutumia fursa njema zilizoandaliwa kwa ajili yao nchini Tanzania.Changamoto yetu hapa Tanzania bado ni uwekezaji kwa ajili ya mauzo ya nje ili kuongeza kiwango cha mapato ya fedha za kigeni.

    ReplyDelete