Tuesday, July 30, 2013

Mahojiano na waTanzania wanaomiliki Chuo cha Uuguz.

"The Way You See The Problem Is The Problem": Mahojiano na waTanzania wanaomiliki Chuo cha Uuguz...:   Karibu katika mahojiano baina ya Jamii Production na waTanzania wanaomiliki Chuo cha Uuguzi cha Kansas Ndg Michael Katunzi na Ndg Ro...

Karibu katika mahojiano baina ya Jamii Production na waTanzania wanaomiliki Chuo cha Uuguzi cha Kansas Ndg Michael Katunzi na Ndg Robert Otto.

Katika mahojiano haya, wanaeleza mambo mbalimbali ikiwemo walipopata na walivyopata wazo la kuanzisha chuo hiki, walivyoanzisha na walipo hivi sasa, changamoto walizokutana nazo kuanzia kuanzisha mpaka kilipo sasa, mafanikio yao na ya chuo chao pamoja na mipango yao juu ya chuo hicho kilicho katika nafasi za juu miongoni mwa vyuo vya uuguzi jimboni humo.

Mahojiano haya yamefanywa na Mubelwa Bandio wa Jamii Production.

1 comment:

  1. Mpo juu wakuu, hatimaye imewezekana, au sio, TUPO PAMOJA WAKUU

    ReplyDelete