Saturday, June 8, 2013

Waziri Mkuu, Tanzania, Atembelea Sacoma, London.

Umoja huo wa Sacoma wenye lengo la kuwakomboa wakulima wadogo wadogo wa Africa ya Mashariki ulimkaribisha Waziri Mkuu, Mheshimiwa Peter Mizengo Pinda,  alipofanya ziara kwenye Soko la Spitafields, lililopo Stratford nchini Uingereza, kwa lengo la kujionea shughuli za Jumuiya ya Sacoma inayoendesha shughuli zake katika soko hilo na jinsi ambavyo jumuiya hiyo imeweza kuwasaidia wakulima wa mboga na matunda nchini Kenya, kupata soko la kuuza bidhaa zao Uingereza.Waziri Mkuu huyo wa Tanzania baadaye alipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Sacoma group, Bwana. Sam Ochieng, namna ambavyo bidhaa za Matunda na Mboga mboga kutoka nchini Kenya zinavyopakiwa, kusafirishwa na hatimaye kuuzwa kwenye soko la Spitfield nchini Uingereza, kwa kupitia Jumuiya ya Sacoma.


Waziri mkuu, Mheshimiwa Peter Mizengo Pinda akipata maelekezo.

8 comments:

  1. Ya haitakiw kudharau kaz hata mboga mboga pia znalpa

    ReplyDelete
  2. Can we Tanzanians vegetable growerz benefit from that Sacoma group as well?

    ReplyDelete
    Replies
    1. of course, nahdhan tusubiri majibu ya Waziri tuone!@Henry

      Delete
  3. Can we Tanzanians vegetable growerz benefit from that Sacoma group as well?

    ReplyDelete
  4. Basi tuwe makini kufuatilia majibu ya W/Mkuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bila shaka, huenda atakaporudi nchini atakuwa na majibu mazuri sana juu ya safari yake hii

      Delete
  5. Safari kama hizo alihitajika kuandamana na mabwana shamba wetu kwa wingi, natumai walikuwepo,....ni vyema, tusubiri akija atatumegea ya huko!

    ReplyDelete