Tuesday, June 11, 2013

Tahadhari: Email yangu imeibwa...


Naomba kutoa taarifa kuwa email yangu ya moreinfoz@yahoo.com ambayo pia imeunganishwa na justinkasyome@yahoo.com zimeibwa maana naweka password naambiwa mimi sio mtumiaji!
Naomba waeleze wengine pia ili wakipokea ujumbe wowote unaotatanisha kutoka kwa email hizo, wazipuuzie wakati ambao najaribu kutafuta ufumbuzi. Kwa mwenye msaada wa namna ya kutatua tatizo hili pia asisite kunijulisha kupitia hapa hapa.
Asante.

No comments:

Post a Comment