Friday, August 23, 2013

SWAHILI RADIO YAZINDUA APP YA ANDROID PHONES, IPHONE, IPAD,IPOD NA BLACKBERRY

Swahili Radio baada ya kupokea maombi mengi ya wasikilizaji wetu kutoka sehemu mbalimbali duniani, tunapenda kuwatangazia kuwa Radio yetu kwa sasa inapatikana bila mkwaruzo katika simu za viganjani za iPhone, Blackberry, Android phones na katika kila kifaa chenye internet duniani. Endelea Kuangalia Swahili TV na kusikiliza Swahili Radio. Jinsi ya k
utupata 1. Download Tunein (Tunein ni neno moja usiache nafasi) Tunein Radio app kwa simu yako mfano; iphone, ipad,ipod,android au Blackberry 2. Baada ya ku-download , open app na nenda kwenye browser na andika neno swahili radio kisha search. 3. Ukiona logo yetu ya swahili radio bofya na sikiliza.

1 comment:

  1. Haya ni maendeleo kwa wadau wote na karibu Tanzania Exporters Association ili tupanue wigo katika biashara ya kimataifa.

    ReplyDelete