Saturday, June 1, 2013

Rais Kikwete ahudhuria mkutano wa ufunguzi wa TICAD Yokohama.

Rais wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete,
akisalimiana kwa mkono na rais wa Uganda,
Yoweri Kaguta Museven.
Rais wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete,
Waziri mkuu wa Japan, Shinzo Abe,
katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bwa. Ban-Ki Moon,
wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wa
Afrika katika ufunguzi wa mkutano wa tano wa
TICAD jijini Yokohama, asubuhi ya leo kwa saa za Afrika ya Mashariki.

 
 

2 comments:

  1. Afrika kuna nini?Hili swali linaendelea kutuumiza vichwa kutokana na ushindani uliozuka katika ya Japan,China na India katika uwekezaji wa mitaji barani Afrika.Mataifa hayo matatu yanafukuza kwa ukaribu katika takwimu za uwekezaji wa mitaji barani Afrika na kitakachofuta bado ni kitendawili.Je wadau tunaweza kujadili mada hii?

    ReplyDelete
  2. hapo kuna utata, maana mataifa haya yanaitazama sana afrika. umetaja japan, china na india ila umesahau wakoloni wetu na America!hata hivi karibuni,tumesikia rais Obama anatarajia kuwasili nchini Tanzania,nadhan hili ni swali kubwa sana.

    ReplyDelete